Mwili wa mmiliki wa mabasi ya super sami waokotwa kwenye mfuko wa sandarusi.

Kufuatia chombo kimoja wapo cha habari kuripoti tukio la kupotea kwa Mmiliki wa mabasi ya Super Sami, Samson Josiah maarufu kama Super Sami au mmiliki wa mabasi ya Super Sami na gari lake kukutwa limechomwa moto maeneo ya serengeti, hatie mwili wake umeokotwa na wavuvi katika mto Ndabaka, Serengeti, ukiwa kwenye mfuko wa Sandarusi umefungwa pamoja na mawe. Ndugu wa karibu wamethibitisha kuwa mwili huo ni wa sami huku chanjo cha mauaji hayo ya kinyama kikiwa bado hakija bainika.

Comments

Popular posts from this blog

BASI LINGINE LA NEW FORCE LAPATA AJALI MBAYA.

DEATH OF JOHN RAMBO IS IT TRUE

DALILI 10 ZA KUACHA NA MPENZI WAKO