Posts

Showing posts from February, 2018

DALILI 10 ZA KUACHA NA MPENZI WAKO

Image
DALILI 10 ZA KUCHOKWA NA MPENZI WAKO, KAMA ZIPO MBILI TU, ACHIA NGAZI MCHUMA UONDOKE LABDA UFANYE MAOMBI SANA........... haya angalia sasa kama wako hana hata moja.. 1. Hupigiwi simu hadi umpigie. 2. Hutumiwi sms hadi umtumie. 3. Usipomtafuta halalamiki wala hakuulizi. 4. Ukimpigia simu muongee muda mrefu kidogo anakwambia yupo busy daily. 5. Ukimpigia simu usiku anakwambia anataka kulala au simu haina chaji, lakini ukikaa kidogo ukipiga tena unakuta inatumika au unamuona online. 6. Kama upo naye group, anaamkia kwenye group kusalimia watu na akifanya hivyo anaamini hata wewe amekusalimia. 7. Ukituma texts hata awe online haisomi na akiisoma kujibu ni OPTIONAL COURSE. 8. Ukichat naye anakupa majibu mafupi kama short course za computers studies. 9. Hajawahi kukuweka DP hata siku moja, ingawa wewe ungependa afanye hivyo. Kisingizio chake eti baba na mama yake wapo watsap ingawa kwa ukubwa na tabia zake hata wazazi wake wanajua kuwa ana wapenzi(sio mpenzi). 10. Kukutambulisha

Thanani ya utu wa mwanadamu

Mwalimi akiwa darasani alitoa elfu kumi mpya mfukoni kisha akawaambia wanafunzi wake anayetaka nimpe hii elfu kumi anyoshe mkono juu,Wanafunzi wote wakanyosha mikono yao juu, Baada ya hapo mwalimu akaidondosha ile pesa kwenye vumbi na kuikanyaga ili ichafuke kisha akaiokota na kuuliza ni nani bado anataka nimpe pesa hii ikiwa chafu? Bado Wanafunzi wote walinyosha mikono yao juu. Mwalimu akaona haitoshi, akaitumbukiza ile pesa kwenye maji machafu na kuwauliza wanafunzi kwa mara nyingine tena ni nani yupo tayari kuichukua hii pesa ikiwa kwenye maji machafu tena yanayo nuka? Bado wanafunzi wote wakanyosha mikono yao juu. Baada ya hapo mwalimu akawauliza kwanini mmeendelea kuihitaji hii pesa hata ikiwa katika maji machafu tena yanayo nuka? Wale wanafunzi wakamjibu mwalimu wakisema " thamani ya pesa itakuwa ileile pasipo kujali imetoka katika mazingira gani. Ndipo mwalimu akasema mmejibu vema na ndivyo maisha ya mwanadamu yalivyo. Mazingira, maneno ya kusingiziwa, na mambo mengine

DEATH OF JOHN RAMBO IS IT TRUE

Kumekua na taarifa zinazo sambaa kwa kasi kua muigizaji Maarufu John Rambo kafariki lakini ifuatayo ni taarifa ya ukweli kuhusu uhai wake. Sylvester Stallone anapiga sehemu ya haki ya kupigwa katika sinema zake. Wahusika wake wamekuja karibu na kifo huko Rambo, Rocky, Cliffhanger na, bila shaka, Spy Kids 3: Game Over, lakini katika maisha halisi wanajeshi, wanapata mashabiki wanaofikiriwa kwa Ufuatiliao ujao. Lakini vyombo vya habari vya kijamii viliwekwa kesho asubuhi na uvumi kwamba mwigizaji wa hadithi alikufa.: Watu walikuwa wakidai kifo chake ni matokeo ya vita vya miaka miwili na kansa ya prostate, na kusababisha mashabiki kutangaza kuhusu sinema zao za Stallone na wakati. Ni muhimu kutambua kwamba Syl ni hai sana  ni mwenye umri wa miaka 71. Inaweza kukushangaza kwamba hii si mara ya kwanza watu walidhani mwigizaji amekufa. Miaka miwili iliyopita, ripoti ya bandia ya kudai kuwa kutoka kwa CNN ilikuwa ikikizunguka vyombo vya habari vya kijamii, na kusababisha watu wengi wa m

Mazishi ya mwana chuo wa NIT kugaramiwa na serekali.

Akizungumzia swala hili Waziri wa Elimu, Profesa. Joyce Ndalichako amesema kuwa  serikali itagharamia shughuli za mazishi ya Mwanafunzi  wa Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT), Akwiilina Akwilina ambaye ameuawa kwa kupigwa risasi Februari 16, 2018 "Marehemu Akwilina alikua ni miongoni mwa wanaufaika wa mikopo ya elimu ya juu, wizara yangu itamkumbuka marehemu Akwilina kama mmoja ya wanafunzi wa kike ambao wamejipambanua katika kutambua na kuthamini umuhimu wa elimu na hivyo kuwa katika mstari wa mbele kuhakikisha anasoma kwa bidii kwa manufaa yake mwenyewe, familia yake na manufaa mapana ya taifa letu kwa ujumla"   Ndalichako amesema kifo cha mwanafunzi  Akwulina  kimetokea wakati akiwa kwenye harakati ya kupeleka barua ya maombi ya mafunzo kwa vitendo  ambayo alikuwa akitegemewa kuanza Februari 26, 2018 na kudai kifo hicho kimezima ndoto yake na serikali kukipokea kwa masikitiko.  "Mimi Waziri mwenye dhamani ya elimu nimesikitika sana kuona binti huyo amepoteza m

TUME YA UCHAGUZI IMETANGAZA MATOKEO YAUCHAGUZI SIHA NA KINONDONi nini maoni yako

Tume ya Uchaguzi (Nec), imetamtangaza Dk Godwin Mollel wa Chama cha Mapinduzi (CCM) kuwa mshindi wa uchaguzi mdogo wa Ubunge katika Jimbo la Siha baada ya kupata kura 25,611 dhidi ya mpinzni wake wa karibu, Elvis Mosi wa Chadema aliyepata kura 5,905  

UJUMBE WA DIAMOND KWA ZARI

Hivi karibuni mwanadada na mfanyabiashara maarufu nchini Uganda, Zarina Hassan alitangaza kuachana na msanii wa Bongofleva, Diamond Platnumz , tukio ambalo liliibua hisia kubwa sana kutokana na siku hiyo ambayo ilikuwa jumatano Februari, 14 maarufu kama siku ya wapendanao ( Valentine day) Habari hiyo ilibeba ”Headlines” katika vyombo mbali mbali vya habari na hata katika mitandao ya kijamii huku nyota huyo wa Bongofleva, Diamond akiendeleza ukimya kuhusu tukio hilo hali iliyofuta taswira za wengi kuwa nikutokana na maumivu ya kuachwa. Diamond leo amevunja ukimya kupitia ukurasa wake wa Instagram baada ya kuweka wimbo wa msanii kutoka wasafi aliyesajiliwa hivii karibuni, Marombosso unaojulikana kama ‘Nimekuzoea’, akiwa ameuambatanisha na maneno yafuatayo. ” Hayo Mashairi changanya na Ua Jeusi ….dah @Mbosso naona kama ulinitabiria mdogo angu” ameandika Diamond. Katika wimbo wa Marombosso mashairi yake yanasema hivi. ”hujaacha tobo uliloniachia ni bonge la tundu, sina nyendo mama

"Diamond siwezi kuachana na Zari."

Mwanamuziki nyota wa Tanzania Nasibu Abdul maarufu kama Diamond Platinum , Asema wazi hawezi kuachana na Nyota kutoka Uganda mwanadada Zari... Hii nimara baada ya Zari kutangaza rasmi kuachananae tarehe 14/2/2018 siku ya wapendanao kwa kile kinacho daiwa kua Sio mwaminifu.      Mwanamuziki Diamond katika mahojiano yake leo na kitua cha clouds media anesema     "siwezi kuachana na Zari Nita tembea na magoti mpaka South Africa nikimwambia Zari nisamehe"        Ikumbukwe tarehe 14/2/2018 Nisiku ambayo watu weng duniani wali sherekea kua karibu na wapendwa wao lakini kwa upande wa Diamond ilikua nitofauti saana pale ambapo Zari aliamua kuruhusu moyo wake usukume dam......     MapesainMedia ime fatilia kisahiki kwaakini kabisa kwani zilikueto ptetesi kua nikiki za msimu lakilni kiukweli labda msamaha wa raisi upite ila Zari yuko serious juu ya Tembelea Link hii kwa zaid.....  hili.https://youtu.be/MPxxoOYtbaE