Tanzia:Masogange afariki dunia leo.
Video queen maarufu Bongo Agness Gerald maarufu kama Agness Masogange amefariki Dunia leo katika Hospitali ya Mama Ngoma Mwenge jijini Dar Es Salaam. Kama ilivyo ripotiwa na kituo cha jamiforms kifo chake kimetokea chana waleo na wamedai Alikuwa anasumbuliwa na Homa ya matumbo pamoja na tatizo la kupungukiwa na damu. Usisahau kusubscribe hapojuu na kwenye YouTube channel yetu kwa jina LA mapesain TV kwa taarifa zaidi. Mungu ailaze roho yake mahala pema peponi.