Posts

Showing posts from 2018

Walio chaguliwa jkt kwa mujibu 2018 Form Six leaver Selected To Join JKT 2018 National service| Majina ya JKT 2018

Image
Form Six leaver Selected To Join JKT 2018 National service| Majina ya JKT 2018 Maelezo ya mwanzo. Majina ya wanafunzi wakidato chasita watakao chaguliwa kujiunga na Jkt 2018 yata wekwa hapa yakisha wekwa Bonyeza subscribe hapo juu na jaza E-mail yako hapo kuyapata majina hayo pindi yatakapo toka. Maelezo ya hapo chini ni jinsi ya kupata majina hayo kwa njia nyingine. How to Check for the form six JKT selection in 2018? Visit >>>“Jeshi la Kujenga Taifa” official website; >>>http://www.jkt.go.tz/ Find the ‘MATANGAZO’ tab on the home-page. Check for the news updates related to the “Vijana waliomaliza kidato cha sita na kuchaguliwa kujiunga na Mafunzo ya JKT kwa Mujibu wa Sheria mwaka 2018″ Form Six leaver Selected To Join JKT 2018 National service The list of Form Six leavers joining the National Services will be available soon After being released on the official JKT website, For more details you can visithttp://www.jkt.go.tz/ NOTE :The list of form six selecte

Tanzia:Masogange afariki dunia leo.

Image
Video queen maarufu Bongo Agness Gerald maarufu kama Agness Masogange amefariki Dunia leo katika Hospitali ya Mama Ngoma Mwenge jijini Dar Es Salaam. Kama ilivyo ripotiwa na kituo cha jamiforms kifo chake kimetokea chana waleo na wamedai Alikuwa anasumbuliwa na Homa ya matumbo pamoja na tatizo la kupungukiwa na damu. Usisahau kusubscribe hapojuu na kwenye YouTube channel yetu kwa jina LA mapesain TV kwa taarifa zaidi. Mungu ailaze roho yake mahala pema peponi.

Masogange jela kwa kosa la kutumia madawa ya kulevya.

Image
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imemuhukumu Agnes Gerald (Masogange) hukumu ya kwenda jela miaka miwili au kulipa faini ya Shilingi milioni moja na nusu (1.5 milioni) baada ya kukutwa na kosa la kutumia dawa za kulevya Masogange ni miongoni mwa watu maarufu waliotakiwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar kufika Polisi kwa tuhuma za kujihusisha na matumizi ya Dawa za Kulevya mnamo Februari, 2017 Agnes Gerald ahukumiwa kwa makosa mawili ya Madawa ya kulevya. Kosa la kwanza ni kutumia dawa za kulevya aina ya heroine, na la pili kutumia dawa za kulevya aina ya Oxazepam. Ameachiwa huru mara baada ya kulipa faini ya Sh milioni 1.5. Masogange alikamatwa na Polisi baadae, Jeshi la polisi lilikabidhi sampuli kwa Mkemia Mkuu wa Serikali kwa ajili ya kuthibitisha kama mlimbwende huyo anatumia dawa za kulevya au la

Mwanaharakati na aliyekuwa mke wa hayati Nelson Mandela, Winnie Mandela afariki dunia

Image
Mwanaharakati na aliyekuwa mke wa hayati Nelson Mandela, Winnie Mandela afariki dunia Mwanaharakati na mke wa zamani wa Rais wa kwanza mwafrika wa Afrika Kusini(hayati Nelson Mandela), Bi. Winnie Mandela amefariki leo Jumatatu mchana akiwa na umri wa miaka 81 jijini Johannesburg Mpinga Ubaguzi wa Rangi Winnie Madikizela-Mandela (81) alizaliwa tarehe 26, Septemba mwaka 1936.  Msaidizi wake, Zodwa Zwane amethibitisha taarifa hizo. Winnie Madikizela-Mandela (amezaliwa tar. 26-09-1936 na jina la Nomzamo Winifred Zanyiwe Madikizela ) ni mwanasiasa wa Afrika Kusini, ambaye ameshikilia nafasi kadhaa serikalini na alikuwa mkuu wa ligi ya wanawake ANC. Wakati huu yeye ni mwanachama wa kamati ya kimataifa ya ANC. Ingawa bado alikuwa mke wa Nelson Mandela wakati Mandela alipewa urais wa Afrika ya Kusini mnamo Mei 1994, kamwe hakuwa first lady wa Afrika ya Kusini, kwani wanandoa hawa walikuwa wametengana miaka miwili iliyopita. Hii ilikuwa baada ya Winnie kugunduliwa kuwa na uhusiano wa kimape

Taarifa kamili: Ajali mbaya ya Lori lamafuta singida.

Image
Ajali mbaya ime tokea mkoani Singida ambapo lori la mafuta limeanguka na kuwaka moto katika eneo la Mlima Sekenke na watu wawili wanaripotiwa kufariki. -RPC Singida Deborah Magiligimba amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo. RPC Singida Deborah Magiligimba amesema kwamba, ajali hiyoimetokea saa nne na nusu asubuhi milima ya Senkenke Wilaya ya Iramba barabara ya Singida - Nzega. Aja li iliyo husisha Gari lenye namba T167 DTC aina ya Flight liner ambayo ilikuwa na Trailer namba T 960 ALS. Hili gari ni mali ya Petromac Africa Dar es salaam. Gali iliacha njia na kupinduka ambapo ililipuka na kusababisha moto mkubwa uliopelekea vifo vya watu wawili ambao ni wanaume. Uchunguzi wa jeshi la Polisi wa awali baada ya kufatilia kwenye mzani wa Singida, gari ilipimwa mzani wa Singida saa moja na dk 27 asubuhi dereva alikua anaitwa Erasto Abedi Rusazi na alikuwa na tingo msaidizi wake anayeitwa Ramadhani Hashim Ramadhini wote ni Wakazi wa Tabata Dar Es Salaam. RPC Deborah Magiligimba, ametoa

Manchester United inapanga kumsajili beki wa Real Madrid Raphael Varane

Image
Manchester United inapanga kumsajili beki wa Real Madrid Raphael Varane , 24, kwa dau la £50m. (Mirror) Na Jose Mourinho hakufurahia kitendo cha ukosefu wa nidhamu cha kiungo wake wa kati Paul Pogba wakati alipoingilia kati mahojiano ya runinga ya mkufunzi huyo kufuatia ushindi wa 2-1 dhidi ya Liverpool mapema mwezi huu. (Sun) Nini maoniyako juu ya hili mwanasoka. Acha comment yako apochini.

Mmiliki wa Facebook akiri kuibiwa kwa taarifa za watu zaidi ya million 50,(personal information).

Image
Mmiliki wa facebook Mark Zuckerberg amekiri kuingilia na kuiba data au taarifa za watu binafsi zaidi ya milioni 50 kinyume na utaratibu. Ikiripotiwa na shirika la utangazaji la BBC Katika ujumbe wake kupitia ukurasa wake wa Facebook Zuckerberg amesema kitendo hicho kimewavunjia uaminifu. Hivyo kutokana na hali hiyo ameahidi kufanyika mabadiliko kadhaa ili kutoingiliwa na kuibwa kwa taarifa za watumiaji wake. Amesema"Tuna wajibu wa kuzilinda taarifa zenu,na kama tukishindwa kuzilinda hatuna sifa ya kuwahudumia,mimi ndiye niliyeanzisha mtandao huu wa Facebook,mwisho wa siku nina wajibika kwa chochote kinachotokea katika mtandao wetu."Amesema Zuckerberg. Mambo aliyo ahidi kufanya, Zuckerberg ameahidi kukifanya yafuatayo. Katika kufuatilia matatizo ya sasa naya zamani amesema atafanya mambo yafuatayo Kuchunguza mitandao yote ambayo inashirikiana na uga wa Facebook kabla ya kufanyiwa mabadiliko yam waka 2014 ya namna ya kuweza kupata taarifa ya watumiaji. Kufanyia uchunguzi k

BASI LINGINE LA NEW FORCE LAPATA AJALI MBAYA.

Image
Basi la campuni ya new force limepata Ajali. Ajali imetokea asubuhi ya leo ambapo basi la kampuni ya New Force yenye namba za usajili T 226 DJQ iliyokuwa inatokea Tunduma kuelea jijini Dar Es Salaam katika eneo la mpaka wa Momba na Mbozi eneo la kwa wachina. Hakuna vifo, kuna majeruhi kadhaa, pia madereva wanaotumia barabara ya Mbeya Tunduma eneo la Senjera ya pili rolly imekata njia hivyo kuna foleni, juhudi za kuondoa gari zinaendelea. Ikumbuku no mfululizo wa mabasi ya campuni hii kupata ajali ambapo zimepita siku chache baada ya kituo cha habari cha ITV kuripoti tukio la Ajali ybasi la kampuni hii lenye nambari T440 DDDT iliyo tokea morogoro, Ambapo basihili lilikua linatoka Kyela mkoani mmbeya kuelekea Jijini Dar es salam ajali iliyo jeruhi watu 16. Nini maoni yako juu ya hili? Usisahau Ku subscribe hapo juu kwa taarifa kamili baafae.

Ajali Mbaya Yatokea Kigoma Yaua watu 7

Image
Watu 7 wamefariki dunia katika ajali iliyohusisha lori aina ya Scania iliyotokea kijiji cha Mkongoro. Chanzo cha ajali hiyo imedaiwa kua dereva wa lori alishindwa kulimudu kwenye mteremko mkali na kumgonga mtembea kwa miguu kisha kupinduka. Watu 7 wamefariki katika ajali hiyo iliyo sababishwa na gari aina ya Scania Lori iliyotokea katika kijiji cha Mkongoro Kigoma. Dereva wa Lori hilo ali shindwa kulimudu gari wakati akishuka kwenye mteremko uliokuwa na kona kali na kumgonga mtembea kwa miguu na kisha kupinduka.

Al Qaeda Ya Pamba Moto upya, Huyu apa kiongozi Mpya na Mikakati yake.

Image
Mtoto wa Osama Ateuliwa kua kiongozi wa kundi la Al Qaeda Mtoto wa aliyekuwa kiongozi wa kundi la kigaidi la Al Qaeda, Osamba Bin Laden ali wahi kutoa ujumbe wa vitisho kwa Marekani kuhusu mpango wa kundi hilo kulipiza kisasi juu ya kifo cha baba yake Ameteuliwa kua kiongozi wakundi hilo. Hamza bin Laden ameapa kuliendeleza kundi hilo na kwamba watatekeleza shambulizi lingine linalofanana na lile la Septemba 11, mwaka 2001 lililotumia ndege mbili kushambulia makao makuu ya ulinzi ya Marekani. Marekani ilimsaka na kufanikiwa kumuua Osama Bin Laden kwa kutumia kikosi maalum katika maficho yake Abbottobad nchini Pakistan, Mei 2 mwaka 2011. Hamza bin Laden anajinadi kuwa “sisi sote ni Osama.” Mwaka 2008, Mbunge wa zamani wa Uingereza, Patrick Mercer alimtaja Hamza kama mtoto wa falme za kigaidi (the crown prince of terror). Barua iliyokutwa katika jumba alilouawa Osama Bin Laden ilionesha kuwa alipanga kumrithisha Hamza utawala wa kundi hilo baada ya kifo cha kaka yake Saad mwaka 2009 kat

Mtu mmoja kwa jina Benard Shumba mkazi wa Singida anashikiliwa na jeshi la Polisi kwa kumuua mke wake miaka nane iliyopita kisha kuuficha mwili kwenye mbuyu.

Image
Mtu mmoja kwa jina Benard Shumba mkazi wa Singida anashikiliwa na jeshi la Polisi kwa kumuua mke wake miaka nane iliyopita kisha kuuficha mwili kwenye mbuyu. Ikiripotiwa na TBC Kamanda wa Polisi mkoa wa Singida ,Deborah Magiligimba amethibitisha kutokea kwa tukio hilo, na kusema mtuhumiwa baada ya kukamatwa alikiri kutenda kosa hilo na kwenda kuonesha mwili wa marehemu aliokuwa ameuhifadhi ndani ya mbuyu Jeshi la Polisi kwa kushirikiana na wananchi limefanikiwa kupata mabaki ya mwili wa mwanamke huyo. Habari zaidi... Kuna tukio moja la MAUAJI lililotokea mwaka 2010 lakini mabaki ya mwili wa Marehemu yamepatikana leo jioni. Ni kwamba mnamo tarehe 7/10/2010 huko katika kijiji cha Yulansoni kata na tarafa ya Kinyangiri wilaya ya Mkalama Mkoa wa Singida. Tabu Robert,mnyiramba,28yrs mkulima wa Yulansoni aliuawa na mume wake aitwae Bernard Shumba@Siza,mnyiramba,47yrs,mkulima wa Yulansoni. Baada ya Mtuhumiwa kufanya tukio hilo aliuchukua mwili wa marehemu na kwenda kuuficha kwenye m

Frusa za kibiashara na uwekezaji 150 unazo weza kufanya ukiwa popote.

Image
LISTI YA FURSA ZA BIASHARA NA MIRADI Najua umekua ukijikuta njia panda pale unapokua unafikiria ufanye kitu cha kuku ingizia kipato alafu unashindwa kujua ufanyenini, Leo nime kuwekea frusa au aina za biashara unazo weza Fanya hapo chini. 1. Kununua Mashine za kukoroga zege na kukodisha. 2. Kununua Mashine za kukata vyuma na kuzikodisha. 3. Kutengeneza na kuuza tofali 4. Ufundi, Website updating/Database: Katika Halmashauri, Manispaa, Mashule, Wizara, Wilaya na Makampuni mbalimbali. 5. Kuanzisha kituo cha redio na televisheni 6. Kufunga na kutengeneza vifaa mbalimbali vya electroniki na mawasiliano mfano; compyuta na vifaa vya compyuta na mawasiliano. 7.Kuuza software; mfano Antivirus, Operating Systems, Pastel, Tally, Myob, n.k 8. Kushona na kuuza nguo. 9. Kufungua Duka la kuuza nguo mpya; suit, socks, batiki, nguo za asili, Mashuka, Mashati, Suruali, 10. Ufugaji wa mifugo mbalimbali mfano Kondoo, Mbuzi, Ng’ombe, Kuku, Bata, na wengine. 11. Kufungua stationery, kuuza (supply) vitabu

Hizi hapa sababu za mama yake Irene Uwoya Kuto hudhuria harusi yake na Dogo Janja.

Image
Uwoya afunguka kwa nini Mama yake kutoshiriki ndoa yake na Dogo Janja MUIGIZAJI wa Filamu Nchini Irene Uwoya amefunguka sababu za mama yake kutoshiriki kwenye ndoa aliyofunga hivi karibuni na mumewe Dogo Janja. Octoba 30 Mwaka jana wawili hao walifunga ndoa,ambayo ilihudhuriwa na watu wengi,lakini cha ajabu Mama Mzazi wa Irene Uwoya hakuwepo. Irene alisema kuwa Mama yake amekuwa ni mtu wa kusafiri mara kwa mara hiyo ndiyo sababu iliyopelekea Mama huyo kutoshiriki na kutomepeleka Dogo Janja nyumbani kwao. "Hakuwepo kwahiyo hakuweza kushiriki kwasababu mama angu ni mtu wa kusafiri sana kwahiyo hakuwepo Tanzania lakini ndoa ameibariki"Alisema Uwoya Aliongeza mara kwa mara mama yake amekuwa mtu wa kusafiri na mpaka sasa hajatulia kiasi ambacho anaweza kuamua kumpeleka Mumewe Dogo Janja,ingawaje Baba yake ndiye anayekuwepo Nyumbani. Hata alivyoulizwa kutokuwepo kwa ndugu zake kwenye ndoa yake Irene alieleza kuwa ndugu zake walikuwepo baadhi japo hawakuwa wengi.

Jacob Zuma Apatikana na makosa 16 ya rushwa.

Image
Aliyekuwa rais wa Afrika Kusini Jacob Zuma amepatikana na mashtaka 16 ya rushwa inayohusishwa na mamilioni ya dola yaliotumika katika mpango wa silaha. Ikiripotiwa na BBC Mashtaka hayo ambayo bwana Zuma amekataa kuhusika yanajumuisha udanganyifu aliofanya ili kujipatia fedha na utakatishaji wa fedha. Bwana Zuma mwenye umri wa miaka 75,chama chake cha ANC kilimlazimishaa kuachia madaraka yake mwezi uliopita. Zuma alipigiwa kura ya kutoamaniwa mara ya tisa katika bunge kabla hajaachia ngazi. Mwendesha mashtaka mkuu Shaun Abraham amesema anaamini kuwa kuna sababu ya kuwa na mtazamo chanya juu ya hukumu ya kesi hii Bwana Zuma anatuhumiwa kutaka rushwa kutoka kwa Thales kwa nia ya kuboresha maisha yake ya kifahari.Mshauri wake wa fedha wakati huo alikutwa na hatia ya kuomba rushwa hizo mwaka 2005 na bwana Zuma alimfukuza kazi yake ya usaidizi wa rais. Mashtaka ya awali dhidi ya bwana Zuma yalikuwa yameondolewa muda mfupi kabla ya kuwa rais mwaka 2009. Kwa sasa anakabiliana na shitaka

Mwili wa mmiliki wa mabasi ya super sami waokotwa kwenye mfuko wa sandarusi.

Image
Kufuatia chombo kimoja wapo cha habari kuripoti tukio la kupotea kwa Mmiliki wa mabasi ya Super Sami, Samson Josiah maarufu kama Super Sami au mmiliki wa mabasi ya Super Sami na gari lake kukutwa limechomwa moto maeneo ya serengeti, hatie mwili wake umeokotwa na wavuvi katika mto Ndabaka, Serengeti, ukiwa kwenye mfuko wa Sandarusi umefungwa pamoja na mawe. Ndugu wa karibu wamethibitisha kuwa mwili huo ni wa sami huku chanjo cha mauaji hayo ya kinyama kikiwa bado hakija bainika.

SIRI NZITO YA IBUKA KWEYE MADAI YA MWANACHUO ALIE DAI KUTEKWA NA CCM

Image
Jeshi la polisi leo limeongelea uchunguzi wake kuhusu mwanafunzi wa chuo kikuu cha Dar es Salaam aliyedaiwa kutekwa, Abdul Nondo kwamba alitekwa na watu wasiojulikana, taarifa ambayo ilizua taharuki kwenye mitandao ya kujamii. Kamanda Mambosasa amesema walifungua shauri la kuchunguza na kubaini ukweli, anasema walipata taarifa kutoka jeshi la Polisi Iringa kwamba mwanafunzi huyo alipatikana Mafinga akiwa salama na kuendelea na shughuli zake na hakuripoti popote kabla ya kukamatwa. Jeshi la polisi kanda maalumu limesema mwanafunzi huyo hakutekwa bali alijiteka au kuamua kutoa taarifa hizo ambazo zilikuwa na maslahi kwake binafsi, labda umaarufu wa kisiasa kulingana na kujishulisha na mtandao wa kisiasa. Mambosasa amesema upelelezi umebaini mwanafunzi huyo alikwenda Iringa kwa mpenzi wake ambae alikuwa akifanya nae mawasiliano mara kwa mara akiwa njiani kuelekea Iringa baada ya kufanya uchunguzi wa kisayansi kwani muda baada ya kusema ametekwa, simu yake iliendelea kufanya mawasiliano

DIWANI WA CHADEMA ATIA AIBU KUBWA CHAMA CHAKE

Image
Diwani wa Kata ya Olsunyai mkoani Arusha, Elirehema Nnko (CHADEMA),  amekihama chama chake na kujiunga CCM. Amedai sababu ya kuhama ni kwamba biashara zake haziendi vizuri na anaamini akiwa ndani ya CCM biashara zitakwenda vizuri. (Nipashe) Ikiripotiwa na kituo cha habari cha #Eetv kutoka nipashe Leo Diwani huyo amehama kutoka chama hicho na ana sema nibora kua mwana CCM, huku akiacha kundi kubwa na watu na maswali yasiokua na majibu ya moja kwa moja. Ikumbukwe Arusha ndio mkoa ulio kua na nguvu kubwa sana ya upinzani na ndicho kilicho sababisha hata madiwani hawa wanao hamia CCM kupata ushindi mkumbwa mkoani huko.

DALILI 10 ZA KUACHA NA MPENZI WAKO

Image
DALILI 10 ZA KUCHOKWA NA MPENZI WAKO, KAMA ZIPO MBILI TU, ACHIA NGAZI MCHUMA UONDOKE LABDA UFANYE MAOMBI SANA........... haya angalia sasa kama wako hana hata moja.. 1. Hupigiwi simu hadi umpigie. 2. Hutumiwi sms hadi umtumie. 3. Usipomtafuta halalamiki wala hakuulizi. 4. Ukimpigia simu muongee muda mrefu kidogo anakwambia yupo busy daily. 5. Ukimpigia simu usiku anakwambia anataka kulala au simu haina chaji, lakini ukikaa kidogo ukipiga tena unakuta inatumika au unamuona online. 6. Kama upo naye group, anaamkia kwenye group kusalimia watu na akifanya hivyo anaamini hata wewe amekusalimia. 7. Ukituma texts hata awe online haisomi na akiisoma kujibu ni OPTIONAL COURSE. 8. Ukichat naye anakupa majibu mafupi kama short course za computers studies. 9. Hajawahi kukuweka DP hata siku moja, ingawa wewe ungependa afanye hivyo. Kisingizio chake eti baba na mama yake wapo watsap ingawa kwa ukubwa na tabia zake hata wazazi wake wanajua kuwa ana wapenzi(sio mpenzi). 10. Kukutambulisha

Thanani ya utu wa mwanadamu

Mwalimi akiwa darasani alitoa elfu kumi mpya mfukoni kisha akawaambia wanafunzi wake anayetaka nimpe hii elfu kumi anyoshe mkono juu,Wanafunzi wote wakanyosha mikono yao juu, Baada ya hapo mwalimu akaidondosha ile pesa kwenye vumbi na kuikanyaga ili ichafuke kisha akaiokota na kuuliza ni nani bado anataka nimpe pesa hii ikiwa chafu? Bado Wanafunzi wote walinyosha mikono yao juu. Mwalimu akaona haitoshi, akaitumbukiza ile pesa kwenye maji machafu na kuwauliza wanafunzi kwa mara nyingine tena ni nani yupo tayari kuichukua hii pesa ikiwa kwenye maji machafu tena yanayo nuka? Bado wanafunzi wote wakanyosha mikono yao juu. Baada ya hapo mwalimu akawauliza kwanini mmeendelea kuihitaji hii pesa hata ikiwa katika maji machafu tena yanayo nuka? Wale wanafunzi wakamjibu mwalimu wakisema " thamani ya pesa itakuwa ileile pasipo kujali imetoka katika mazingira gani. Ndipo mwalimu akasema mmejibu vema na ndivyo maisha ya mwanadamu yalivyo. Mazingira, maneno ya kusingiziwa, na mambo mengine

DEATH OF JOHN RAMBO IS IT TRUE

Kumekua na taarifa zinazo sambaa kwa kasi kua muigizaji Maarufu John Rambo kafariki lakini ifuatayo ni taarifa ya ukweli kuhusu uhai wake. Sylvester Stallone anapiga sehemu ya haki ya kupigwa katika sinema zake. Wahusika wake wamekuja karibu na kifo huko Rambo, Rocky, Cliffhanger na, bila shaka, Spy Kids 3: Game Over, lakini katika maisha halisi wanajeshi, wanapata mashabiki wanaofikiriwa kwa Ufuatiliao ujao. Lakini vyombo vya habari vya kijamii viliwekwa kesho asubuhi na uvumi kwamba mwigizaji wa hadithi alikufa.: Watu walikuwa wakidai kifo chake ni matokeo ya vita vya miaka miwili na kansa ya prostate, na kusababisha mashabiki kutangaza kuhusu sinema zao za Stallone na wakati. Ni muhimu kutambua kwamba Syl ni hai sana  ni mwenye umri wa miaka 71. Inaweza kukushangaza kwamba hii si mara ya kwanza watu walidhani mwigizaji amekufa. Miaka miwili iliyopita, ripoti ya bandia ya kudai kuwa kutoka kwa CNN ilikuwa ikikizunguka vyombo vya habari vya kijamii, na kusababisha watu wengi wa m

Mazishi ya mwana chuo wa NIT kugaramiwa na serekali.

Akizungumzia swala hili Waziri wa Elimu, Profesa. Joyce Ndalichako amesema kuwa  serikali itagharamia shughuli za mazishi ya Mwanafunzi  wa Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT), Akwiilina Akwilina ambaye ameuawa kwa kupigwa risasi Februari 16, 2018 "Marehemu Akwilina alikua ni miongoni mwa wanaufaika wa mikopo ya elimu ya juu, wizara yangu itamkumbuka marehemu Akwilina kama mmoja ya wanafunzi wa kike ambao wamejipambanua katika kutambua na kuthamini umuhimu wa elimu na hivyo kuwa katika mstari wa mbele kuhakikisha anasoma kwa bidii kwa manufaa yake mwenyewe, familia yake na manufaa mapana ya taifa letu kwa ujumla"   Ndalichako amesema kifo cha mwanafunzi  Akwulina  kimetokea wakati akiwa kwenye harakati ya kupeleka barua ya maombi ya mafunzo kwa vitendo  ambayo alikuwa akitegemewa kuanza Februari 26, 2018 na kudai kifo hicho kimezima ndoto yake na serikali kukipokea kwa masikitiko.  "Mimi Waziri mwenye dhamani ya elimu nimesikitika sana kuona binti huyo amepoteza m

TUME YA UCHAGUZI IMETANGAZA MATOKEO YAUCHAGUZI SIHA NA KINONDONi nini maoni yako

Tume ya Uchaguzi (Nec), imetamtangaza Dk Godwin Mollel wa Chama cha Mapinduzi (CCM) kuwa mshindi wa uchaguzi mdogo wa Ubunge katika Jimbo la Siha baada ya kupata kura 25,611 dhidi ya mpinzni wake wa karibu, Elvis Mosi wa Chadema aliyepata kura 5,905  

UJUMBE WA DIAMOND KWA ZARI

Hivi karibuni mwanadada na mfanyabiashara maarufu nchini Uganda, Zarina Hassan alitangaza kuachana na msanii wa Bongofleva, Diamond Platnumz , tukio ambalo liliibua hisia kubwa sana kutokana na siku hiyo ambayo ilikuwa jumatano Februari, 14 maarufu kama siku ya wapendanao ( Valentine day) Habari hiyo ilibeba ”Headlines” katika vyombo mbali mbali vya habari na hata katika mitandao ya kijamii huku nyota huyo wa Bongofleva, Diamond akiendeleza ukimya kuhusu tukio hilo hali iliyofuta taswira za wengi kuwa nikutokana na maumivu ya kuachwa. Diamond leo amevunja ukimya kupitia ukurasa wake wa Instagram baada ya kuweka wimbo wa msanii kutoka wasafi aliyesajiliwa hivii karibuni, Marombosso unaojulikana kama ‘Nimekuzoea’, akiwa ameuambatanisha na maneno yafuatayo. ” Hayo Mashairi changanya na Ua Jeusi ….dah @Mbosso naona kama ulinitabiria mdogo angu” ameandika Diamond. Katika wimbo wa Marombosso mashairi yake yanasema hivi. ”hujaacha tobo uliloniachia ni bonge la tundu, sina nyendo mama

"Diamond siwezi kuachana na Zari."

Mwanamuziki nyota wa Tanzania Nasibu Abdul maarufu kama Diamond Platinum , Asema wazi hawezi kuachana na Nyota kutoka Uganda mwanadada Zari... Hii nimara baada ya Zari kutangaza rasmi kuachananae tarehe 14/2/2018 siku ya wapendanao kwa kile kinacho daiwa kua Sio mwaminifu.      Mwanamuziki Diamond katika mahojiano yake leo na kitua cha clouds media anesema     "siwezi kuachana na Zari Nita tembea na magoti mpaka South Africa nikimwambia Zari nisamehe"        Ikumbukwe tarehe 14/2/2018 Nisiku ambayo watu weng duniani wali sherekea kua karibu na wapendwa wao lakini kwa upande wa Diamond ilikua nitofauti saana pale ambapo Zari aliamua kuruhusu moyo wake usukume dam......     MapesainMedia ime fatilia kisahiki kwaakini kabisa kwani zilikueto ptetesi kua nikiki za msimu lakilni kiukweli labda msamaha wa raisi upite ila Zari yuko serious juu ya Tembelea Link hii kwa zaid.....  hili.https://youtu.be/MPxxoOYtbaE