BASI LINGINE LA NEW FORCE LAPATA AJALI MBAYA.

Basi la campuni ya new force limepata Ajali. Ajali imetokea asubuhi ya leo ambapo basi la kampuni ya New Force yenye namba za usajili T 226 DJQ iliyokuwa inatokea Tunduma kuelea jijini Dar Es Salaam katika eneo la mpaka wa Momba na Mbozi eneo la kwa wachina. Hakuna vifo, kuna majeruhi kadhaa, pia madereva wanaotumia barabara ya Mbeya Tunduma eneo la Senjera ya pili rolly imekata njia hivyo kuna foleni, juhudi za kuondoa gari zinaendelea. Ikumbuku no mfululizo wa mabasi ya campuni hii kupata ajali ambapo zimepita siku chache baada ya kituo cha habari cha ITV kuripoti tukio la Ajali ybasi la kampuni hii lenye nambari T440 DDDT iliyo tokea morogoro, Ambapo basihili lilikua linatoka Kyela mkoani mmbeya kuelekea Jijini Dar es salam ajali iliyo jeruhi watu 16. Nini maoni yako juu ya hili? Usisahau Ku subscribe hapo juu kwa taarifa kamili baafae.

Comments

Popular posts from this blog

DEATH OF JOHN RAMBO IS IT TRUE

DALILI 10 ZA KUACHA NA MPENZI WAKO