DIWANI WA CHADEMA ATIA AIBU KUBWA CHAMA CHAKE

Diwani wa Kata ya Olsunyai mkoani Arusha, Elirehema Nnko (CHADEMA),  amekihama chama chake na kujiunga CCM. Amedai sababu ya kuhama ni kwamba biashara zake haziendi vizuri na anaamini akiwa ndani ya CCM biashara zitakwenda vizuri. (Nipashe) Ikiripotiwa na kituo cha habari cha #Eetv kutoka nipashe Leo Diwani huyo amehama kutoka chama hicho na ana sema nibora kua mwana CCM, huku akiacha kundi kubwa na watu na maswali yasiokua na majibu ya moja kwa moja. Ikumbukwe Arusha ndio mkoa ulio kua na nguvu kubwa sana ya upinzani na ndicho kilicho sababisha hata madiwani hawa wanao hamia CCM kupata ushindi mkumbwa mkoani huko.

Comments

Popular posts from this blog

BASI LINGINE LA NEW FORCE LAPATA AJALI MBAYA.

DEATH OF JOHN RAMBO IS IT TRUE

DALILI 10 ZA KUACHA NA MPENZI WAKO