Posts

BREAKING NEWS

Walio chaguliwa jkt kwa mujibu 2018 Form Six leaver Selected To Join JKT 2018 National service| Majina ya JKT 2018

Image
Form Six leaver Selected To Join JKT 2018 National service| Majina ya JKT 2018 Maelezo ya mwanzo. Majina ya wanafunzi wakidato chasita watakao chaguliwa kujiunga na Jkt 2018 yata wekwa hapa yakisha wekwa Bonyeza subscribe hapo juu na jaza E-mail yako hapo kuyapata majina hayo pindi yatakapo toka. Maelezo ya hapo chini ni jinsi ya kupata majina hayo kwa njia nyingine. How to Check for the form six JKT selection in 2018? Visit >>>“Jeshi la Kujenga Taifa” official website; >>>http://www.jkt.go.tz/ Find the ‘MATANGAZO’ tab on the home-page. Check for the news updates related to the “Vijana waliomaliza kidato cha sita na kuchaguliwa kujiunga na Mafunzo ya JKT kwa Mujibu wa Sheria mwaka 2018″ Form Six leaver Selected To Join JKT 2018 National service The list of Form Six leavers joining the National Services will be available soon After being released on the official JKT website, For more details you can visithttp://www.jkt.go.tz/ NOTE :The list of form six selecte

Tanzia:Masogange afariki dunia leo.

Image
Video queen maarufu Bongo Agness Gerald maarufu kama Agness Masogange amefariki Dunia leo katika Hospitali ya Mama Ngoma Mwenge jijini Dar Es Salaam. Kama ilivyo ripotiwa na kituo cha jamiforms kifo chake kimetokea chana waleo na wamedai Alikuwa anasumbuliwa na Homa ya matumbo pamoja na tatizo la kupungukiwa na damu. Usisahau kusubscribe hapojuu na kwenye YouTube channel yetu kwa jina LA mapesain TV kwa taarifa zaidi. Mungu ailaze roho yake mahala pema peponi.

Masogange jela kwa kosa la kutumia madawa ya kulevya.

Image
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imemuhukumu Agnes Gerald (Masogange) hukumu ya kwenda jela miaka miwili au kulipa faini ya Shilingi milioni moja na nusu (1.5 milioni) baada ya kukutwa na kosa la kutumia dawa za kulevya Masogange ni miongoni mwa watu maarufu waliotakiwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar kufika Polisi kwa tuhuma za kujihusisha na matumizi ya Dawa za Kulevya mnamo Februari, 2017 Agnes Gerald ahukumiwa kwa makosa mawili ya Madawa ya kulevya. Kosa la kwanza ni kutumia dawa za kulevya aina ya heroine, na la pili kutumia dawa za kulevya aina ya Oxazepam. Ameachiwa huru mara baada ya kulipa faini ya Sh milioni 1.5. Masogange alikamatwa na Polisi baadae, Jeshi la polisi lilikabidhi sampuli kwa Mkemia Mkuu wa Serikali kwa ajili ya kuthibitisha kama mlimbwende huyo anatumia dawa za kulevya au la

Mwanaharakati na aliyekuwa mke wa hayati Nelson Mandela, Winnie Mandela afariki dunia

Image
Mwanaharakati na aliyekuwa mke wa hayati Nelson Mandela, Winnie Mandela afariki dunia Mwanaharakati na mke wa zamani wa Rais wa kwanza mwafrika wa Afrika Kusini(hayati Nelson Mandela), Bi. Winnie Mandela amefariki leo Jumatatu mchana akiwa na umri wa miaka 81 jijini Johannesburg Mpinga Ubaguzi wa Rangi Winnie Madikizela-Mandela (81) alizaliwa tarehe 26, Septemba mwaka 1936.  Msaidizi wake, Zodwa Zwane amethibitisha taarifa hizo. Winnie Madikizela-Mandela (amezaliwa tar. 26-09-1936 na jina la Nomzamo Winifred Zanyiwe Madikizela ) ni mwanasiasa wa Afrika Kusini, ambaye ameshikilia nafasi kadhaa serikalini na alikuwa mkuu wa ligi ya wanawake ANC. Wakati huu yeye ni mwanachama wa kamati ya kimataifa ya ANC. Ingawa bado alikuwa mke wa Nelson Mandela wakati Mandela alipewa urais wa Afrika ya Kusini mnamo Mei 1994, kamwe hakuwa first lady wa Afrika ya Kusini, kwani wanandoa hawa walikuwa wametengana miaka miwili iliyopita. Hii ilikuwa baada ya Winnie kugunduliwa kuwa na uhusiano wa kimape

Taarifa kamili: Ajali mbaya ya Lori lamafuta singida.

Image
Ajali mbaya ime tokea mkoani Singida ambapo lori la mafuta limeanguka na kuwaka moto katika eneo la Mlima Sekenke na watu wawili wanaripotiwa kufariki. -RPC Singida Deborah Magiligimba amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo. RPC Singida Deborah Magiligimba amesema kwamba, ajali hiyoimetokea saa nne na nusu asubuhi milima ya Senkenke Wilaya ya Iramba barabara ya Singida - Nzega. Aja li iliyo husisha Gari lenye namba T167 DTC aina ya Flight liner ambayo ilikuwa na Trailer namba T 960 ALS. Hili gari ni mali ya Petromac Africa Dar es salaam. Gali iliacha njia na kupinduka ambapo ililipuka na kusababisha moto mkubwa uliopelekea vifo vya watu wawili ambao ni wanaume. Uchunguzi wa jeshi la Polisi wa awali baada ya kufatilia kwenye mzani wa Singida, gari ilipimwa mzani wa Singida saa moja na dk 27 asubuhi dereva alikua anaitwa Erasto Abedi Rusazi na alikuwa na tingo msaidizi wake anayeitwa Ramadhani Hashim Ramadhini wote ni Wakazi wa Tabata Dar Es Salaam. RPC Deborah Magiligimba, ametoa

Manchester United inapanga kumsajili beki wa Real Madrid Raphael Varane

Image
Manchester United inapanga kumsajili beki wa Real Madrid Raphael Varane , 24, kwa dau la £50m. (Mirror) Na Jose Mourinho hakufurahia kitendo cha ukosefu wa nidhamu cha kiungo wake wa kati Paul Pogba wakati alipoingilia kati mahojiano ya runinga ya mkufunzi huyo kufuatia ushindi wa 2-1 dhidi ya Liverpool mapema mwezi huu. (Sun) Nini maoniyako juu ya hili mwanasoka. Acha comment yako apochini.

Mmiliki wa Facebook akiri kuibiwa kwa taarifa za watu zaidi ya million 50,(personal information).

Image
Mmiliki wa facebook Mark Zuckerberg amekiri kuingilia na kuiba data au taarifa za watu binafsi zaidi ya milioni 50 kinyume na utaratibu. Ikiripotiwa na shirika la utangazaji la BBC Katika ujumbe wake kupitia ukurasa wake wa Facebook Zuckerberg amesema kitendo hicho kimewavunjia uaminifu. Hivyo kutokana na hali hiyo ameahidi kufanyika mabadiliko kadhaa ili kutoingiliwa na kuibwa kwa taarifa za watumiaji wake. Amesema"Tuna wajibu wa kuzilinda taarifa zenu,na kama tukishindwa kuzilinda hatuna sifa ya kuwahudumia,mimi ndiye niliyeanzisha mtandao huu wa Facebook,mwisho wa siku nina wajibika kwa chochote kinachotokea katika mtandao wetu."Amesema Zuckerberg. Mambo aliyo ahidi kufanya, Zuckerberg ameahidi kukifanya yafuatayo. Katika kufuatilia matatizo ya sasa naya zamani amesema atafanya mambo yafuatayo Kuchunguza mitandao yote ambayo inashirikiana na uga wa Facebook kabla ya kufanyiwa mabadiliko yam waka 2014 ya namna ya kuweza kupata taarifa ya watumiaji. Kufanyia uchunguzi k