Mmiliki wa Facebook akiri kuibiwa kwa taarifa za watu zaidi ya million 50,(personal information).

Mmiliki wa facebook Mark Zuckerberg amekiri kuingilia na kuiba data au taarifa za watu binafsi zaidi ya milioni 50 kinyume na utaratibu. Ikiripotiwa na shirika la utangazaji la BBC Katika ujumbe wake kupitia ukurasa wake wa Facebook Zuckerberg amesema kitendo hicho kimewavunjia uaminifu. Hivyo kutokana na hali hiyo ameahidi kufanyika mabadiliko kadhaa ili kutoingiliwa na kuibwa kwa taarifa za watumiaji wake. Amesema"Tuna wajibu wa kuzilinda taarifa zenu,na kama tukishindwa kuzilinda hatuna sifa ya kuwahudumia,mimi ndiye niliyeanzisha mtandao huu wa Facebook,mwisho wa siku nina wajibika kwa chochote kinachotokea katika mtandao wetu."Amesema Zuckerberg. Mambo aliyo ahidi kufanya, Zuckerberg ameahidi kukifanya yafuatayo. Katika kufuatilia matatizo ya sasa naya zamani amesema atafanya mambo yafuatayo Kuchunguza mitandao yote ambayo inashirikiana na uga wa Facebook kabla ya kufanyiwa mabadiliko yam waka 2014 ya namna ya kuweza kupata taarifa ya watumiaji. Kufanyia uchunguzi kazi za program za kimitandao zinazotiliwa shaka Kupiga marufuku mwanzilishi wa program yoyote ambayo inagoma ama haitoi ushirikiano katika uchunguzi pamoja na hatua nyingine ambazo wanaona zita pafanya Facebook kuwa mahala salama. Bado tuna
toa shukrani kwa wote watakao tenga muda wao na Ku subscribe kwenye blog yetu na kutu Follow kwa kuingia kwenye menu upande wakushoto hapo juu asante sana.

Comments

Popular posts from this blog

BASI LINGINE LA NEW FORCE LAPATA AJALI MBAYA.

DEATH OF JOHN RAMBO IS IT TRUE

DALILI 10 ZA KUACHA NA MPENZI WAKO