Manchester United inapanga kumsajili beki wa Real Madrid Raphael Varane
Manchester United inapanga kumsajili beki wa Real Madrid Raphael Varane, 24, kwa dau la £50m. (Mirror)
Na Jose Mourinho hakufurahia kitendo cha ukosefu wa nidhamu cha kiungo wake wa kati Paul Pogba wakati alipoingilia kati mahojiano ya runinga ya mkufunzi huyo kufuatia ushindi wa 2-1 dhidi ya Liverpool mapema mwezi huu. (Sun)
Nini maoniyako juu ya hili mwanasoka.
Acha comment yako apochini.
Comments